Michoro ya mwambani ya Oran Kusini

Michoro ya mwambani ya Oran Kusini ni michoro ya kihistoria inayotokana na kipindi cha Neolithic. Michoro hiyo inapatikana kusini mwa Mkoa wa Oran, Algeria, katika Milima ya Atlas ya Sahara, katika maeneo (kutoka magharibi kwenda mashariki) ya Figuig, Ain Sefra, El-Bayadh, Aflou, na Tiaret.[1]

  1. Published:Arts et Métiers graphiques, Paris, 210 pages et reproductions photographiques.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy